ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, February 26, 2013

HUYU NDIO MWIGIZAJI KUTOKA AFRIKA ALIEHUDHURIA TUZO ZA OSCAR

Rachel Mwanza.

Rachel Mwanza ni mwigizaji raia wa Kongo ambae aliwahi kushirikishwa kwenye War Witch ambayo ilikua nominated kwenye tuzo za Oscar, hii ilikua mara yake ya kwanza kuhudhuria tuzo hizo na alionyesha kujiamini vizuri.
Hapa yuko na director wa movie Kim Nguyen. Picha kwa hisaniya Millard Ayo Blog

No comments: