ANGALIA LIVE NEWS

Monday, February 25, 2013

ILE BARABARA YA BAGAMOYO-MSATA INAYOJENGWA NDIO HII

Kama unatokea Tanga kwenda Dar es salaam au Bagamoyo unashauriwa kuitumia hii barabara ya Msata Bagamoyo na sio ya Msata Dar es salaam ambayo ina kilomita nyingi zaidi ya hii.
Ujenzi wa hii barabara naona unakaribia kukamilika, zimebaki sehemu chache ili yote iwe lami.

No comments: