Mfanya biashara ndogondogo akiwa ametoka sokoni kununua bidhaa kwa ajili ya kujipatia kipato cha kila siku mjini morogoro
Kijana moja mabaye hakufahamika kwa jina mara moja akiwa anakokota mzigo wa chpa zilizotumika ambazo kwa sasa zimekuwa nadra sana ikiwa ni mihangaiko ya kila siku ya kujitafutia kipato cha kila siku ili kujikimu na maisha
No comments:
Post a Comment