Saturday, February 16, 2013

KIM KARDASHIAN AMESHAFIKA NIGERIA TAYARI, PICHA HIZI HAPA

Niliandika on millardayo.com siku chache zilizopita kwamba TV Star Kim Kardashian kutoka Marekani ambae ni mpenzi wa rapper Kanye West, alithibitisha kwenda Nigeria alikopata mwaliko wa kuhost show itakayofanyika february 17 2013 kuhusu wapendanao, tayari ameshawasili Lagos.
Kim K amewasili akiwa watu wawili, mlinzi mmoja na msaidizi wake mmoja wa kike.

No comments: