ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, February 16, 2013

MAGARI WANAYOMILIKI WASANII WA BONGOMOVIE

Big brother Jacob Steven ana-push Verossa.Wema Sepetu anapush Mark X, also
 ana Harrier plus romour, anapush pia Audi.

Big up kwa watanzania wanaonunua movie za kibongo na kuwapa mashavu wasanii wa bongo kwa kile wananchokifanya. Ukitaka leo Wema amiliki ndinga kama ya Angeline Jolie basi nunua nakala halisi ya copy ya movie zaWema,Ray ,JB na wasanii wengine. Wanachokipata now bado ni kidogo ukllinganisha na wananchostahili. List nyingine ya ndinga wanazomiliki wasanii wa bongomovie inakuja.

No comments: