| Hii ndo Ilikuwa Outfit ya Jana.....!! |
| skuzote kabla ya kwenda popote lazma tupitie kwa mama yetu mpendwa atupe Barka zake....!! |
| Nikipokea baraka za Mama ....Nijaliwe Mema....na Niende kwa Amani...!! |
| WASAFIIIII......!! kwa picha zaidi bofya read more |
| Tulivofika Nje tukaanza Kukoki SMG zetu kabisaaa...!! |
| Ramadhani Mpauka......!! |
| Nikiwa na Abdallah Mjukuu wa Ambua toka EATV mi Humwitaga Dullah Planet |
| Nikiwa Naingia Maishani ....!! |
| Nikiwa naYvonne,Fetty Kitasa & Prince BrotherMan Dully Sykes...!! |
| Mwaulanga pia Ndani... Picha kwa hisani ya This Is Diamond |
No comments:
Post a Comment