Friday, February 8, 2013

MAKAMU WA RAIS DKT BILAL ALIPOKUTANA NA SENETA STIVE KING KWA MAZUNGUMZO, WASHNGTON DC NA KUZUNGUMZA NA VIONGOZI WA JUMUIYA ZA WATANZANIA WA WASHNGTON DC

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Seneta, Stive King, wakati alipofika katika Ofisi yake iliyopo katika jingo la Ofisi za Maseneta wa Marekani, akiwa katika ziara yake ya siku nne katika jiji la Washngton Dc nchini Marekani, Feb 6, 2013.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza jambo na Seneta, Stive King, wakati wakiagana baada ya mazzungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwa Seneta huyo, akiwa katika ziara yake ya siku nne, jijini Washngton Dc nchini Marekani Feb 6, 2013. 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na baadhi ya viongozi wa Jumuiya mbalimbali za Watanzania waishio Washington Dc, Feb 6, 2013.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya viongozi wa Jumuiya mbalimbali za Watanzania waishio Washington Dc, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Feb 6, 2013, katika Hoteli ya Omni Shoreham.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania, nchini Marekani katika jiji la Washngton Dc, baada ya mazungumzo yao alipowasili jijini humo kuanza ziara yake ya siku nne, iliyomalizika jana Feb 7, 2013. Wa kwanza (kushoto) ni Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu (wa tano kutoka kushoto) ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa kimataifa, Mahadhi Juma Maalim. 
Picha na OMR

1 comment:

Anonymous said...

I didn’t like for VP to meet with congressman Steve King. He is close to nothing compare to our VP people at the TZ Embassy should do better than schedule that meeting with SK. He rather meet with US – VP Joe Biden , Speaker John Boehner or senate majority leader Harry Reid . Even though he is VP from poor country he shouldn’t meet with everybody so long he or she is US politician.