Saturday, February 9, 2013

P.DIDDY AKIONYESHA TATTOO ILIYOANDIKWA KWENYE MKONO WAKE NI MPYA HII ANAJIVUNIA KUWA MNEW YORKER

NEW YORK KUMETOKA MASTAR WENGI LAKINI WALIOWENGI WALA AWAISHI NEW YORK LICHA YA KUTOKA KUZALIWA AU KUKULIA LAKINI SIKU ZOTE WANAJIVUNIA KUWA WA NEW YORKER HAPA NI DIDDY AKISHOW LOVE JUU YA JIJI HILO LA WASILO LALA KWA KUANDIKA TATTOO YENYE JINA LA JIJI HILO NA WEWE WEKA KAMA WA KUTOKA VIJIBWENI POWA TU.
Hapa Diddy amesha vunja kabati akiwa  juu ya zuria jekundu akipata ukodak akiwaka ki New York New York.

No comments: