Saturday, February 9, 2013

SNOW ILIVYO IKUMBA MIJI YA NEW JERSEY, NEW YORK CITY NA MASSACHUSETTS



 Hapa ni nyumbani kwa bwana Isaac Kibodya mkuu wa wilaya ya Springfield, MA. Kama unavyoona mama mwenye nyumba wake akijaribu kusafisha gari lake lililokuwa lime funikwa na snow hiyo. Mama bado yupo ngangari anaweza kutoa snow bila kumsubiri mzee kufanya kazi hiyo safi sana.
Usafiri uko sawa sasa na unaweza kutoka 
Mtoto akiwa kwenye snow Central Park  New York, Snow imenyesha usiku kutwa na kuathili mambo mengi kufanyika. Sehemu ambazo zimekubwa na mtiti huu wa snow no New Jersey, New York City na Massachusetts 
Watoto wakicheza juu ya snow na tube  Central Park in New York
Ingawa ni snow lakini watu upenda kutembea juu ya snow kama unavyo ona hapa watoto wa kicheza na pia mbwa nao walipata nafasi ya kuenjoy pamoja hapa ni Central Park,NY chini mama na mtoto wake wakaslide juu ya snow na tube yao. Bofya read more kwa picha zaidi 
Mtoto akijaribu kusafisha side walk baada ya snow kufanya kweli
Slip-n-slide Mtoto akivuta toboggan yake juu mlima wa snow tayari kwa kucheza Central Park in New York, 
Kwa raha zake mtoto cheza juu ya snow Central Park
Mbwa nao kama watu  kama unavyoona wakijivinjari  juu ya snow Central Park in New York
Hapa i shamba la mifugo, kama unavyoona mifugo hiyo ikila chakula walichowekewa kwenye vyombo kwani akuna majani hapa snow imefanya mambo yake ni huko Massachusetts
 Mama akijaribu kusafisha snow iliyo funika sehemu ya kutembea ni huko Medford, Massachusetts
Wafanyakazi wa  Tufts Medical Center  Boston, wakitembea juu ya snow baada yakazi wakielekea majumbani kwao.
Wafanyakazi wa Metropolitan Boston Transportation Authority Norfolk wakisafisha barabara kwa mashine maalum
Utajisikiaje unaamka asubuhi na unakuta gari lako lipo chini ya snow kama hivi? hii ni huko Norfolk, Massachusetts
 Mkazi akifanya kazi ya kuondoa snow japo apate sehemu ya kupitisha miguu yake ni huko Boston
 Hilikuwa ni hatari kudrive maana hata mbele kuona ni shida kama unavyo ona  hii hi uko Somerville, Massachusetts

No comments: