Friday, February 8, 2013

TASWIRA MBALIMBALI KUTOKA BUNGENI DODOMA

2-pm-na Mwanjelwa(Kulia)
Waziri Mkuu Mizengo Pinda (kulia) akibadilishana mawazo na Mary Mwanjelwa (Viti Maalumu) katika Viwanja vya Bunge mjini Dodoma.
Mbunge wa Moshi Mjini, Phillemon Ndesamburo, akiongea na Lucy Owenya (Viti Maalumu) Bungeni mjini Dodoma.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda (kushoto) akibadilishana mawazo na wabunge (katikati ) ni Mary Mwanjelwa (-Viti Maalumu) na James Lembeli (kulia) Bungeni.
Mbunge wa Mtwara Mjini, Hasnain Murji akiuliza swali Bungeni.

(Picha zote na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO)

No comments: