Snow kubwa inayosadikiwa kuweka rekodi iliyaanza kuanguka jana Ijumaa Feb 8, 2013 kwenye majimbo ya Massachusetts, Connecticut, New York, New Jersey na eneo zima la kaskazini mashariki ya Marekani. Pichani ni moja ya mtaa ya New York unavyoonekana wakati wa theluji hiyo ilivyoaanza kuanguka jana Ijumaa usiku. (Picha na John Minchillo)
Hili ni eneo wa Wilmington, Massachusetts wakati snow ilivyokua ikianza kuanguka
(picha na Elise Amendola)
Hapa Baffalo, New York dereva wa Towing Truck (Break Down) akiweka alama za usalama kujaribu kuinasua gari lililoacha njia kutokana na kuteleza kwenye theluji iliyokua imeaanza kuanguka kuanzaia jana Ijumaa Feb 8, 2013 na kusemakana kuweka rekodi. (Picha na David Duprey)
Hapa ni maeneo ya Springfield, Massachusetts barabarani kukiwa na maandishi ya kuwaonya madereva watulizane majumbani. (Dave Roback/The Republican)
Juu na chini ni Uwanja wa ndege wa LaGuardia, New York ambao umesitisha safari zake zote ikifuatiwa na miji mingine iliyopo Kaskazini Mashariki ya Amerika, Ndege 1,700 zimesitisha safari za anga kwenye miji hiyo (Frank Franklin II)
Andre Tranchemantague, kushoto, na Will Guerette wakipita mitaani wa Kiskiing Mji wa Portland, Maine. ( Picha na Robert F. Bukaty)
Picha zote kwa hisani ya AP Photo)
No comments:
Post a Comment