Umati wa watu waliojitokeza kumsikiliza Bw. William Ruto na Wenzake katika kampani za urais wa Kenya, katika maeneo ya Maralal ,Nanyuki ,Nyahururu na Njabini huko kenya.
William Somoe Ruto akiongea na wananchi waliojitokeza kumsikiliza katika kampani zake za urais wa Kenya katika maeneo ya Maralal ,Nanyuki ,Nyahururu na Njabini huko kenya.
William Somoe Ruto akinadi sera zake kwa wananchi waliojitokeza kumsikiliza katika kampani zake za urais wa Kenya katika maeneo ya Maralal ,Nanyuki ,Nyahururu na Njabini huko kenya.
Wananchi waliotoka kumsikiliza Bw. William Ruto katika kampani zake za urais wa Kenya katika maeneo ya Maralal ,Nanyuki ,Nyahururu na Njabini huko kenya.
No comments:
Post a Comment