ANGALIA LIVE NEWS

Monday, March 18, 2013

BASI LA TAQWA LAPINDUKA IGAWA MBEYA WATU 6 WAHOFIWA KUPOTEZA MAISHA

Basi la Taqwa lililokuwa safarini toka Zambia kwenda DSM limepinduka maeneo ya Igawa wilayani Mbarali na watu 6 wahofiwa kufa Habari kamili tutawaletea

No comments: