ANGALIA LIVE NEWS

Monday, March 18, 2013

DIAMOND ALIVOKINUKISHA MUSOMA

Diamond apagawisha musoma siku ya Jumamosi na haya ndio maneno aliyosema kwenye Website yake
"Napenda kuchukua nafasi hii....kuwashukuru mashabiki zangu nchini kote
na hata nje ya nchi na shukrani kubwa zimwende Mwennyezi mungu...muumba mbingu na nchi kwa kunifikisha hapa nilipo Napenda kuwashukuru pia mashabiki wangu wa kanda ya ziwa
,wilayani Musoma kwa mapokezi mazuri kwenye ujio wangu,Kwa mara ya kwanza kwenye ardhi ya Musoma Tarehe 16.3.2013..Zifuatazo ni Picha ya Show yangu usiku huo. Nilivyokinukisha
na Kundi zima la wasafi."
Dumi utamu.....Rama Mpauka & Emma Platnum
Taratibu Mdogo mdogo Wachafu tukinukisha.
kwa picha zaidi bofya read more
Mashabiki zangu awakuwa nyuma kupata picha za ukumbusho.
Si ndo Amsha Amsha Popo ikahanza.
Hapo Ladies & Gentleman Sing wote
Hisia unichukua kunipeleka mbali Mashetani ya kimanyema
si ndo yakaanza kupanda....
Ni kukiamsha tu na mawazo mpaka kesho....tukimaliza
ni kulewa tuu.
Tuendele ama tusiendele.
Picha zote kwa hisani ya This Is Diamond

No comments: