|
Hapa ni katikati ya jiji la Arusha barabara hii inajulikana kwa jila ya Kaloleni ikionyesha mnara wa mashujaa wenye historia na sehemu yenye makumbusho ya taifa mjini Arusha. |
|
Watoto yatima wa kituo cha Ebenezer Day Care jijini Arusha kituo hiki kinaendeshwa na Julieth Kivuyo mama mwenye kipato kidogo sana. Lakini kutokana na moyo wake wa hurumu juu ya watoto yatima alianzisha kituo hiki miaka mitano iliyopita. Ny Ebra alienda kutoa msahada wa chakula kwa ajili ya pasaka kwa watoto hawa. Picha zaidi bofya read more
|
|
Ny Ebra akipata ukodak wa pamoja na watoto hao baada ya kukabidhi chakula hicho ambacho ni mchele unga sabuni na mafuta ya kupikia. |
|
Ukodak wa pamoja |
Watoto ambao wanalelewa katika mazingira ya kidini wakikiombea chakula hicho.
1 comment:
hongera sana ibra ny moyo mzuri sana mdogo wangu mwenyezi mungu anasema ulichonacho japo kidogo saidia na wenzio wenye shida....inshaaalah mungu akuzidishie ...
Post a Comment