Advertisements

Tuesday, March 26, 2013

HONGERA STARS WETU

Blog ya Vijimambo inawapongeza Wachezaji wa Stars, kocha, viongozi na Watanzania wote kwa ujumla kwa ushindi mnono dhidi ya Morocco. Ni ushindi uliotokana na wachezaji kucheza kitimu na kuonyesha ari ya ushindi tangia mwanzo wa mchezo.

Shaba 11 kusaluti Stars ni mwendo mdundo kwamwe tusibweteke na matokeo hayo safari ndio kwanza imeaanza penye nia pana njia, mshikamano wenu ndio itakua chachu ya ushindi siku zote.

Mungu Ibariki Taifa Stars, Mungu Ibariki Tanzania

No comments: