Advertisements

Monday, March 25, 2013

WAJUKUU WAMTAKIA MAMA BISHANGA HAPPY BIRTDAY

wajukuu wa mama Bishanga toka Ohio ni Mariam na Lalaih  ambao ni watoto wa Kilian Muya Kamota wanamkabidhi bibi yao zawadi ya keki ya birthday bibi yao na kumtakia maisha marefu ya furaha, amani, na maendeleo. 
 wajukuu wa mama Bishanga tokaTanzania,  Kilian au Mzungu na Mariam ambao ni watoto wa Hery au Kenny wa Mambo hayo, wana sema happy birthday bibi, sisi tumekununulia keki na pipi na biskuti lakini tumekula wenyewe kwakuwa uko mbali, tunakusubiri utuletee zawadi ya ice cream, na daftari na kalamu, tunakupenda sana our grandmom.

No comments: