ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, March 28, 2013

JAPAN YASAIDIA BILIONI 1.28 KUSAMBAZA MAJI SAFI VIJIJI VYA TABORA

Waziri wa Fedha Dkt William Mgimwa (kushoto) akiongea na waandishi wa habari (leo) jijini Dar es salama mara baada Tanzania na Japan kusaini hati za mkataba wa Japan kusaidia shilingi bilioni 1.28 kwa ajili ya usambazaji wa maji safi na salama katika baadhi ya vijijini vya mkoa wa Tabora. Kulia ni Balozi wa Japan nchini Masaki Okada.
Waziri wa Fedha Dkt William Mgimwa (kushoto) na Mwakilishi wa JICA nchini Yasunori Onishi (kulia) wakibadilishana hati za mkataba wa Japan kusaidia shilingi bilioni 1.28 kwa ajili ya usambazaji wa maji safi na salama katika baadhi ya vijijini vya mkoa wa Tabora.
Waziri wa Fedha Dkt William Mgimwa (kushoto) na Balozi wa Japan nchini Masaki Okada (kulia) wakibadilishana hati za mkataba wa Japan kusaidia shilingi bilioni 1.28 kwa ajili ya usambazaji wa maji safi na salama katika baadhi ya vijijini vya mkoa wa Tabora.

Picha na MAELEZO_ Dar es salaam.

No comments: