KILIMANJARO RESTAURANT-GRAND OPENING WASHINGTON DMV-IJUMAA IJAYO TAREHE 15 !
SIGNATURE STEAK SALAD YETU NDO HII
VYAKULA VYETU VINAANZIA DOLLAR 3.50 HADI 14 BOFYA- WWW.KILIMANJAROFOOD.COM KWA MAELEZO ZAIDI-301-661-6207
1 comment:
Anonymous
said...
DMK Hongera sana, ila tafuta theme yako. Restaurant zote lazima ziwe na theme maana yake nini, 'I dentity', ndio umesema East African Restaurant, that is fine.Sasa Chakula lazima kiendane na Theme. Hiyo salad ondoa mayai na potato salad, that is 'more western'. Weka kachumbali tu. Najua unataka kuvutia na kuleta 'brend ya western' ku-attract oriental customers, hapana utafeli ukifanya hivyo. Watu watataka kuja kula Tanzanian food halafu watakuta potato salad...hii itachanganya, watauliza kama potato salad ni East African cuisine?. GoodLuck and you have my support. Nitakuja kukuona. Thanks
1 comment:
DMK Hongera sana, ila tafuta theme yako. Restaurant zote lazima ziwe na theme maana yake nini, 'I dentity', ndio umesema East African Restaurant, that is fine.Sasa Chakula lazima kiendane na Theme. Hiyo salad ondoa mayai na potato salad, that is 'more western'. Weka kachumbali tu. Najua unataka kuvutia na kuleta 'brend ya western' ku-attract oriental customers, hapana utafeli ukifanya hivyo. Watu watataka kuja kula Tanzanian food halafu watakuta potato salad...hii itachanganya, watauliza kama potato salad ni East African cuisine?.
GoodLuck and you have my support. Nitakuja kukuona.
Thanks
Post a Comment