Mbunge wa viti maalumu (CHADEMA) Mhe. Leticia Nyerere akipokelewa na Tamara Klajn, mtaalam kamati ya mambo ya nje (Committee on Foreign Relations), kwa ajili ya mazungumzo na senate kuhusu mfumo wa mabunge mawili yanavyofanya kazi Siku ya Ijumaa March 15, 2013 katika jengo la Senate Dirksen lililopo Capital Hill Jijini Washington, DC. (Picha na swahilivilla.blogspot.com)
Mbunge wa viti maalumu (CHADEMA), Mhe Leticia Nyerere akipata ufafanuzi kutoka kwa mtaalamu wa senate kitengo cha mambo ya nje, Tamara Klajn jinsi mabunge mawili yanavyo fanya kazi nchini Marekani
Mbunge wa viti maalumu (CHADEMA), Mhe Leticia Nyerere akiendelea kupata maelezo namna mabunge mawili yanavyo fanya kazi huku Liberatus Mwang'ombe akinukuu mazungumzo yao
Mbunge wa viti maalumu (CHADEMA), Mhe Leticia Nyerere akiwa kwenye ofisi ya senate ya mambo ya nje alipo fanya mazungumzo na Tamara Klajn, mtaalam kamati ya mambo ya nje (Committee on Foreign Relations),leo Ijumaa March 15, 2013 jijini Washington, DC
Mh. Leticia Nyerere na Mtaalamu wa senate mambo ya nje, Tamara Klajn wakimsikiliza kwa makini mwanasiasa wa Marekani, Rick Tingling, akielezea historia ya mabunge mawili
Mhe Leticia Nyerere akipata picha ya pamoja baada ya mazungumzo kwenye bunge la senate
Source: Sharty E. (March 15, 2013). Tamara Klajn alipo mpokea Leticia Nyerere kwenye bunge la senate mjini Washington, DC
Picha kwa hisani ya Swahilivilla Blog
4 comments:
That's what's up
That's waste of time, Mbona hivi vitu unaweza kuvi Google from home na ukaokoa muda wako c'mon people !!!
Nilidhani watu wanaenda kutafuta misaada ya madawati ya primary school huko mwabuki kumbe history
ANYWAY ANGALAU UMEINGIZA SIKU, LAKINI
HUYO MZUNGU HATOI POSHO ATIIIII.
You're missing the point. Learn to think outside the box. Julia Nyerere
Post a Comment