Ilikuwa 16 March Mchana Diamond alipowasili Wilaya ya Ukerewe, majira ya Saa 7 Mchana...alikuwa na haya ya kusema."Namshukuru Mungu Tuliwasili salama Mimi na Crew Yangu Nzima ya Wasafi, pichani ni jinsi nilivyowasili na kupokelewa na maelfu ya wana ukerewe, kiukweli nilifurahi na kufarijika sana...ni upendo uliozidi kifani...much Love kwa wapenzi wangu wa Ukerewe"
 |
Watoto kwa Wakubwa walifurika bandarini kumpokea Prezdah wa Wasafiii
 |
Akiwapa Mkono Mashabiki waliofurika kumlaki Bandarini....
 |
Umati wa watu Waliacha kazi zao na kuongoza Msafara wake kuelekea Mjini....
 |
"Weka Mkono kwa Hewa wana wa ukereweeeeeee......" Prezdah Nimewasili kutii Kiu zenu..!
|
|
|
|
|
No comments:
Post a Comment