ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, March 23, 2013

PICHA YETU YA LEO

Huwezi kujua akielimishwa atakuja kundua kitu cha maana zaidi, kama aliweza kujitengenezea miwani. Watoto kama hawa wakielimishwa vizuri wanaweza kuwa wajuzi zaidi miaka ijayo.

No comments: