MANI Martin's new track "BABA NI NANI"
Hi my Dear, this is my new song called "BABA NI NANI" U will find it attached here!
BABA NI NANI means who is my father, ni wimbo nilioutunga kutokana na mtoto aliyezaliwa na kujikuta analelewa na mama yake pekee bila hata siku moja kukutana au mama yake kumwambia huyu ndiye baba yako ndipo siku alipomuuliza mama yake baba yake ni nani
Sikiliza wimbo huu, utaupenda

No comments:
Post a Comment