Ofisi ya Shirikisho la Soka nchini Misri likiwaka moto baada ya kuchomwa na mashabiki kufuatia hukumu ya mahakama ya kifo kwa watu 21
Mashabiki wa soka wa klabu ya Al-Ahly katika jiji la Cairo nchini Misri wamezua balaa katika jiji hilo ikiwa ni pamoja na kuichoma moto ofisi ya shirikisho la soka nchini humo kufuatia mahakama jijini Cairo kutoa hukumu ya kifo kwa mashabi 21 wa soka
No comments:
Post a Comment