Timu ya mpira wa miguu ya Watanzania DMV ikifanya mazoezi jioni ya Jumapili March 10, 2013 katika kiwanja cha Meadowbrook Park mazoezi yalikua mazuri na kuwakumba wachezaji wengine ambao walifika uwanjani kwa ajili ya kufuatilia mazoezi hayo na baadae kuingia tamaa ya kucheza wakati hawakua wamejiandaa na vifaa kwenye picha ni Rich " Wayne Rooney" akiwajaribu kuwatoka Seif Amir Jezi (14) na Mashaka Bilal (wapili kushoto) huku Dedi Luba akimsubili kwenye kona
Seif Ndossa (mwenye mpira) akiwatoka Seif Ameir (kulia) na Ally Bambino (kushoto)
Jackson (t-shirt nyeupe) alijaribu kumpita Mashaka Bilal
Dullah akijariku kupika pasi huku David Ndunguru (kulia akijaribu kuja kukaba
Jackson akijaribu kuwapita Ally Bambino (kulia) na Yusuf
Rich " Wayne Rooney" akinyoonya misuli kwa mkwaju mkali
David Ndunguru akijaribu kumpita Dedi Luba
Rich "Wayne Rooney" aiomba pasi
4 comments:
kweli watanzania wamejisahau,mmekujakuchezampila aukutafuta maishamazuri diomaanawatu wa UK WANAWACHEKA.
UK KULA KULALA KILA WIKI WAVUTA VOUCHER KWA MAMA, KAMA WANAUME NA WAJE HAPA KWA WALALAWIMA KAMA HAWATAKIMBIA WENYEWE
HAO NI KULA KULALA TU, NAWAJE KWA WALALAWIMA HAPA KAMA HAWATAKIMBIA WENYEWE
@ Mwajabu...hii comment yako inamaana gani? yaani nilivofahamu mimi ni kwamba kucheza mpira ni kitu kibaya sana kwako!!! Ngoja nichangie ufahamu wangu nilionao juu ya hayo maisha mazuri unayoyazungumza. Kuishi vizuri ni kua na afya bora...afya bora hujengeka kwa mambo mingi lakini ya kuzingatiwa ni kula vizuri pamoja na kufanya mazoezi japo mara tatu kwa wiki. Na utakapokua na mwenendo huu hata ukiwa Chini sio Marekani tu au Uingereza basi wewe utakua ni miongoni mwa wanaoishi vizuri. Last but not least I would like to share with you and others who think like you that EXERCISE (including kucheza mpira) makes us grow, and lack of EXERCISE makes us decay and not only that but according to thegoodlife.org the author states that "It's been scientifically proven that regular exercise increases the vitality of virtually every part of your body including stronger muscles, stronger bones, a healthier heart, liver, lungs, and basically every other internal organ. It also leads to a decrease in the onset of almost all diseases traditionally associated with age including cancer, heart disease and diseases of the mind like Alzheimer's. Not only that but exercise actually increases your cognitive abilities (your intelligence) even more than things like daily word games and crossword puzzles". ....Siku nyengine isome vizuri comment yako kabla ya ku submit.
Post a Comment