Advertisements

Sunday, March 10, 2013

HIZI NDIZO PICHA ZA PARTY YA NYAMA CHOMA YA SAFARI LAGER HAPA LEADERS CLUB KINONDONI

Nyama ikiwa tayari kwa kuliwa mpango mzima ulioandaliwa na safari lager
Tayari kwa kazi moja ya kuhakikisha nyama inakuwa sawa kwa watu waliojitekeza katika nyama choma party.
wataalamu wakuchoma nyama wakiwa tayari kabisa kwa shunguri hiyo
Watu kibaaaaao ni kwamba hakuna kiingilio… ni time nzuri ya kukutana na kula hizi nyama choma za bar zinazoshindania milioni 4 kwa ubora wa kuchoma nyama!!!!
Hii ndio stage yenyewe unaambiwa wakali African Stars Twanga Pepeta na wengine watakuwepo hapa muda mfupi ujao.( Picha wa hisani ya Millard Ayo blog)

No comments: