ANGALIA LIVE NEWS

Monday, March 18, 2013

Mazungumzo na Wawekezaji katika Teknolojia ya Ujenzi wa Nyumba

Bw. Paul Mwafongo wa Ubalozi wa Tanzania, Washington, D.C alifanya mazungumzo Machi 14-15, 2013 na Bw. E. Brian Ward, President & CEO wa Kampuni ya Western Forms, mjini Kansas City, Missouri. Hawa ni wawekezaji katika Teknolojia ya Ujenzi wa Nyumba na wanatarajia kutembelea
Tanzania siku za usoni.

No comments: