ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, March 20, 2013

Mfanyabiashara atiwa mbaroni kwa kukutwa na cd za uchochezi

Jeshi la polisi mkoani Tanga limemtia mbaroni mfanyabiashara Omary Mandia baada ya kumkuta akiwa na cd na dvd za uchochezi zipatazo 122 ambazo baadhi yake zimekutwa zikiwa na mahubiri yenye lugha za kukashifu dini tofauti hatua ambayo inaweza kusababisha machafuko miongoni mwa jamii.

No comments: