Wadau wa mataifa mengine waliofika leo Ijumaa kwenye mgahawa wa Kilimamnjaro uliopo Silver Spring maeneo ya Wheaton, Maryland, kwenye mtaa wa Price anddress 2310 Price Ave.
Wadau wa kimataifa wakisubili msosi huku wakiendelea kupooza koo na moja moto moja baridi
Makoo yakiendelea kupoozwa
Wadau wa kimataifa waliofika leo Ijumaa March 29, 2013 kwenye mgahawa wa Kilimamnjaro uliopo Silver Spring maeneo ya Wheaton, Maryland
Mazungumuzo yakiendela na makoo yakizidi kupoozwa
Wadau wa kimataifa waliofika kwenye mgahawa wa Kilimamnjaro kujaribu chakula chetu cha Kitanzania hapa wakiendelea kupooza makoo huku wakiwa na hamu kula chakula chetu cha Kitanzania baada ya kupata sifa kwa baadhi ya wadau wa Kibongo
1 comment:
Mmeanza mambo yenu, acheni misifa, fanyeni biashara kwa ufanisi ili muone mafanikio. Mgahawa wa kimataifa maana yake nini?
Post a Comment