ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, March 20, 2013

RAIS KIKWETE AZINDUA DARAJA SUKA GOLANI KIMARA SUKA JIJINI DAR ES SALAAM

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifunua kitambaa kufungua rasmi Daraja la Suka Golani jijini Dar es Salaam leo.Kushoto anayeangalia ni mbunge wa Ubungo John Mnyika.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mbunge wa Ubungo John Mnyika wakati alipokwenda kuzindua Daraja la Suka Golani jijini Dar es Salaam leo(picha na Freddy Maro
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzindua Daraja la Suka Golani jijini Dar es Salaam.Wengine katika picha kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam Bwana Madabida,Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Bwana Jordan Rugimbana,Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Bwana Sadik Meck Sadik,Meya wa Kinondoni Mstahiki Yusuf Mwenda na kushoto ni Mbunge wa Ubungo Mhe.John Mnyika.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya wananchi waishio eneo la Golani Kimara Suka muda mfupi baada ya kuzindua Daraja la Suka Golani.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya wananchi waishio eneo la Golani Kimara Suka muda mfupi baada ya kuzindua Daraja la Suka Golani.Wananchi wa vyama mbalimbali vya Siasa wakishangilia wakati Rais Jakaya Kikwete alipokuwa akiwahutubia muda mfupi baada ya kuzindua Daraja la Suka Golani jijini Dar es Salaam leo mchana(picha na Freddy Maro

1 comment:

Anonymous said...

huyo john myika amefurahi sana kupeana mkono na JK utadhani amepata bahati na nasibu JK hata hamtazami usoni na amemshika kimadharau lakini yeye amefurahi na kwa muda amejisahau kama yeye ni chadema.