ANGALIA LIVE NEWS

Monday, March 18, 2013

WAKURYA KULA KICHURI MAREKANI, MEMORIAL WEEKEND



Wakurya na familia zao wanaoishi Marekani wanatarajiwa kukutana kwa mara ya kwanza Maryland nchini Marekani kuendeleza mila na desturi ya kabila lao.

hii shughuli ni muhimu sana kwa Wakurya waishio Marekani kuifikiria na kupanga safari ya kuja Maryland ili kuifanikisha. Lengo kubwa ni kukutana, kujuana na pia watoto wetu waweze kujua wapi tulikotoka na tutakua na nyama choma, kichuri,kucheza litungu na kuibhaka.

Address itakayofanyikia ni 
6063 Joseph Scott Drive,
Elkridge, MD 21075

Siku ya Jumamosi May 25, 2013 kuanzia saa 6 mchana (12 noon)

KARIBUNI SANA

No comments: