ANGALIA LIVE NEWS

Monday, March 18, 2013

MKUTANO WA CCM SHINA LA CALIFORNIA - Machi 23, 2013.

Katibu wa Shinda la wana-shina la CCM California anapenda kuwakaribisha watanzania wote waishio California katika mkutano wa kutambulisha Shina Chama Cha Mapinduzi. Ukaribisho huu ni kwa watanzania wote waishio California na wapenda maendeleo ya nchi yao. Ukipata taarifa hii mfahamishe na mwenzio mpenda maendeleo.

Tarehe : 23 Machi, 2013

Sehemu ya mkutano : 397 Euclid Ave, Oakland CA 94610
Muda : Saa 10 jioni mpaka saa 12 jioni. (Zingatia Muda)

Imetolewa 


Erick Byorwango 

Katibu Shina California

No comments: