ANGALIA LIVE NEWS

Monday, March 18, 2013

Video ya Wilfred Lwakatare na mwenzake walivyofikishwa mahakamani Kisutu.

Mkurugenzi wa maswala ya usalama ya chama cha demokrasia na maendeleo chadema bw. Willfred Lwakatare na mwenzake Ludovick Rwezahura wamefikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi Kisutu baada ya kushikiliwa na jeshi la polisi kwa siku sita kutokana na tuhuma za kuhusika kupanga njama kwa lengo la kumdhuru Bwana Denis Msaki.

No comments: