Advertisements

Sunday, March 24, 2013

Website ya Ngoma Africa Band aka FFU imeanza kurusha muziki hewani tena !


Website www.ngoma-africa.com ya
Ngoma Africa Band aka FFU imeanza tena kurusha muziki hewani,
baada ya marekebisho machache yanayo endelea kufanyika ili kubadili
sura yote  mtandao huo.
Tuvoti hiyo ya ilisimamishwa kurusha muziki hewani kwa muda wa siku nzima
sasa inarusha tena muziki hewani na mnaweza kuendelea kupata burudani
kamili tena kwa kusikiliza nyimbo aka (Virungu vya FFU) at http://www.ngoma-africa.com
au www.ngoma-africa.com Usikose kuwasiliana nao at contact@ngoma-africa.com.

1 comment:

Anonymous said...

Ngoma Africa band aka ffu,au watoto wa mbwa,na kiongozi wenu kamanda ras makunja mfalme wa anunnaki empire aka field-mashall asanteni sana kwa kulekebisha mambo