Tafiti zinaonyesha kuwa takribani asilimia 75 ya magonjwa mapya yanayoathiri binadamu katika karne ya 21 yanatokana na wanyama na asilimia 60 ya magonjwa yote ya wanyama yanaweza kusasabisha magonjwa kwa binadamu pia.
Wadau wa elimu wameitaka serikali isitafute mchawi juu ya suala la anguko la elimu nchini,
badala yake wayafanyie kazi baadhi ya mambo ambayo yako wazi ikiwemo ubadilishwaji wa mitaala mara kwa mara. Ubadilishwaji wa vitabu bila kufuata utaratibu huku wakitaka vitabu vyote vitungwe na Taasisi ya Elimu Tanzania ili vyote vifanane.
Baada ya baadhi ya wabunge kulaumiwa kwakutoa lugha zisizo na staha,Jumuiaya ya wazazi ya chama cha mapinduzi(CCM) kata ya mbezi juu imeanza harakati za kuwafunza maadili vijana na watoto ili kupata viongozi imara wa chama hicho siku za mbeleni.
SOURCE:ITV
No comments:
Post a Comment