Kutoka kushoto ni Omary Khama ambaye ni Private Secretary To The Minister Wizara ya Fedha, Maafisa Ubalozi wa Tanzania, Washington, DC, Bwn. Paul Mwafongo na Bwn. Suleiman Saleh wakimsubiri Mhe.Waziri wa Fedha Dkt. Wiliam Mgimwa kwenye Hotel ya Embassy Suites katikati ya Jiji la Washington, DC
Mhe. Waziri wa Fedha Dkt. Wiliam Mgimwa (wapili toka kulia) akiwa katika picha ya pamoja toka kushoto, Afisa Ubalozi Paul Mwafongo, Cyprian Kuyava (Wizara ya Fedha), Afisa Ubalozi Suleiman Saleh na Omary Khama (Wizara ya Fedha)
Nyammy Ivan akipata picha wakati Vijimambo ilipotembelea Ubalozi wa Jamhuri ya Tanzania, Washington, DC.
Mariam Mkama akiwa kazini kitengo cha VISA kwenye Ubalozi wa Jamhuri ya Tanzania, Washington, DC, nchini Marekani.
Mpiga Boksi akiwa kazini kwenye mtaa wa barabara ya 14 Washington, Dc
Wadau wakisubiri usafiri wa mabasi kuelekea wanakoelekea kama walivyokutwa na kamera ya Vijimambo Downtown, DC
kwenye mzunguko wa barabara ya 14 na Massachusetts jijini Washington, DC
Barabara ya 14 katikati ya jiji la Washington, DC.
Mkutano ya mtaa wa Connecticut na Rhode Island, Washington, DC
Eliud na Abdul wakiongea jambo nje ya jengo la Ubalozi wa Jamhuri ya Tanzania, Washington, DC.
Edward Taji na Mariam Mkama katika picha ya pamoja wakati Mariam alipohitaji msaada wa jambo fulani kabla ya kukutwa na kamera ya Vijimambo
No comments:
Post a Comment