Polisi wakamata majambazi watano wakiwa na silaha 2 na risasi 18 Tandika
Jeshi la pilisi limekamata majambazi matano yaliyohusika na tukio la kujaribu kupora fedha za kampuni ya mafuta ya Bigbon Yakiwa na silaha mbili za kivita na risasi 18 katika eneo la Tandika wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment