Global Grind (globalgrind.com) ni moja ya tovuti za Marekani zenye wingi wa watu wanaozitembelea na zilizo na uhodari wa kupasha watu habari ambapo time hii Mwanamitindo Mtanzania Flaviana Matata anaefanya kazi na kuishi New York ametisha tena kwa kuchukua nafasi kubwa kwenye headlines kama unavyoona hapa kutokana na kazi nzuri na kubwa anayoifanya.
No comments:
Post a Comment