Advertisements

Friday, April 5, 2013

KILIMANJARO PASSION MGAHAWA WAKO KWA AJILI YAKO

Wateja wa Kilimanjaro Passion wakiendelea kupata menyu
 mmoja ya wateja waliofika mgahawa wa Kilimamnjaro akisubili menyu yake
 Wakina dada kutoka Michigani wakiwepo nao kwenye mgahawa wa Kilimanjaro uliopo Sliver Spring. Maryland, maeneo ya Wheaton wakiburudika tartiiib kanywaji
 mama na mwana wakiwa ndani ya mgahawa wa Kilimanjaro
 Wadau wakiwemo ndani ya mgahawa wakiangalia menyu ili waagize chakula chao.
kwa pcha zaidi bofya read

 Wateja kutoka kwa jirani zetu nao wakiwemo ndani ya mgahawa wa Kilimanjaro
 Wateja wakiwemo Kilimanjaro Passion wakilainisha koo
 Juu na chini ni wadau waliofika kusapoti Kilimanjaro Passion
 Dj David (shoto) na Dj Mudy wakipata Ukodak Moment
 Wakina dada wakipata msosi Kilimanjaro
DMK akipata maoni ya kutoka kwa wateja wake kuhusiana na chakula

No comments: