Mr and Mrs Topham wakisherehekea baada ya ku-win £45million kwenye 'The EuroMillions lottery'
Wanatarajia kujenga mjengo huu, utakaokuwa na kila kitu ndani. Wakiotoka nje ni kwa ajili ya kupata hewa safi
Hii ni nyumba wanaoishi kwa sasa
1 comment:
Anonymous
said...
hebu cheki huu mjengo si kama nyoka vile jeulize kwa undani sana hivi kweli wameshinda na kwa nini wawe wametaka kuwa na mjengo kama huu usisikiye bwana pesa za kupewa au za kushinda jiulize zimetoka wapi kani macho mchunguze mambo jamani

Post a Comment