Mh. Leticia Nyerere ni Mjumbe wa kamati ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.
Katika mahojiano haya, Mh. Nyerere amezungumzia mambo mengi ikiwemo
1: Historia ya maisha yake
2: Wajibu wa mbunge wa viti maalum
3: Ushirikiano wa wabunge wanawake katika kumkomboa mwanamke
4: Utata wa uraia wa nchi mbili nk.
No comments:
Post a Comment