Advertisements

Saturday, April 27, 2013

MAULIDI YA NAJLA LINGA, HYATTSVILLE, MARYLAND

Najla linga akiwa amebebwa na wazazi wake kwenye maulidi yake iliyofanyikia nyumbani kwao Hyattsville, Maryland nchini Marekani na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki, siku ya Jumamosi April 27, 2013 kwa ajili ya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa.
Mtoto Najla katika picha ya pamoja na baba yake.
 Najla akiwa amebebwa na Aunty Moza wakati akisalimia wageni waliofika kwenye maulidi yake yake ya kutimiza mwaka.
 Aunty Moza pamoja na Sophia wakiwa wanamtunza mtoto Najla
 Jayroce akiwa anafuatilia maulidi
 Maulidi ikiendelea
 Wageni wakiwa kwenye maulidi ya Najla
 Maulidi ikiendelea
 Baba mzazi akifuatilia kisomo
 Mashekh wakiongoza Maulidi ya Najla
kwa picha zaidi bofya read more

1 comment:

Anonymous said...

hivi ndo inavyotakiwa kumkuza mtoto wa kiislamu katika maadili ya kiislamu hata kama tupo majuu siyo leo mambo ya birthday nimefurahisha sana na wazazi najla wa aina hii Allah akubarikini sana pamoja na mtoto wenu awe mtoto mwenye kheri na nyinyi na umati wa muslimin wal musli maat awe mtoto msikivu, mtulivyu na Allah amjaze kila lenye kheri na yeye hapa duniani na kesho akhera pamoja na wazazi wake na kila muuslamu na kila mzazi wa kiislamu

tufuteni mifano mema kama hii jamani ndugu zangu

nimefurahi sana na hizi picha Allah bareek

mdau NY