Advertisements

Sunday, April 28, 2013

MKUTANO WA JINSI YA KUJIAJIRI MWENYEWE WAFANYIKA MARYLAND.

Edward Hills akielezea ya jinsi inavyowezekana kujiajiri mwenyewe kwenye mkutano uliofanyika Jumamosi April 27, 2013 na kuhudhuriwa na wadau wa Maryland.
 Joel Lomnick akijitambulisha yeye na ujumbe mzima uliofika kutoka New York maalum kwa mkutano wa jinsi unavyoweza kujiajiri mwenyewe.
 Wadau mbalimbali wa DMV wakiwa kwenye mkutano wa jinsi unavyoweza kujiajiri mwenyewe.
 Wadau wakifuatilia mkutano
 Edward Hills akijibua maswali ya wadau
 Picha ya pamoja baada ya mkutano kumalizika.

No comments: