Advertisements

Wednesday, April 24, 2013

MSIBA DMV NA TANZANIA

Mama Mukami (kulia) akiwa na mama yake wakati alipokwenda kumuuguza mwishoni mwa 2012
Mama Ana Mukami wa DMV anasikitika kutangaza kifo cha mama yake mzazi kilichotokea Musoma Tanzania mapema leo April 24, 2013, Mama Mukami anaelekea nyumbani kwa mazishi akiongozana na wanae wawili kesho Alhamisi, atakaporudi tutawaarifu tena kwa ajili ya kutoa mkono wa pole. kwa sasa hizi waweza kumpigia mama Anna Mukami kwa kutoa pole 301 904 9055
 Kwenye picha ni Mama Muyanja Enzi ya uhai wake na wengine  pichani, aliyebebwa ni Ruth Mukami, anayekula kidole ni Keth Mukami  na kulia ni Dj Luke Joe Picha ilipigiwa studio ya Ilala mwaka 1972

4 comments:

Unknown said...

Pole sana Mama Mukami kwa msiba na karibu TZ tutajitahidi kukuona

Unknown said...

Pole sana mama yetu

baraka daudi said...

Mama Mukami na Familia ya Mukami poleni sana kwa kufiwa na mpendwa mama Muyanja. Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi. Amen

Anonymous said...

Kwa niaba ya familia yangu na mimi binafsi, napenda kuchukuwa nafasi hii kukupa pole sana na kwamba Mungu awe nawe ktk kipindi hiki kigumu!

Ahsante,

Waigama