ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, April 27, 2013

MSIBA NEW JERSEY/ NEW YORK NA TANZANIA

Adolph, Brian au Thadeo Lwakajende Enzi ya uhai wake
Adolf alikua anasema baba yake na mama yake walifariki wakati yeye na mdogo wake wakiwa wadogo. Marehemu alikulia kwa mjomba wake.Kifo cha Adolf kimetokana na massive stroke aliyoipata April 24, 2013 na alilazwa st Barnabas hospital, Livingston, New Jersey na kufariki saa chache baada ya kulazwa. Mpaka sasa hivi kuna watu wametafuta ndugu zake na kumpata mjomba wake mmoja huko Bukoba vijijini. Hatukuweza kupata ndugu wa karibu hapa marekani na mpaka sasa hivi maiti yake ipo hospital haijawa claimed. Hivyo kama binadamu tumeamua kujichangisha ili tuweze kupeleka mwili wa mwezetu Tanzania kwa mazishi. 

Tunaomba msaada wako wa hali na mali popote pale ulipo, mzigo huu ni wetu na Adollph ni ndugu yetu, Jamaa yetu, rafiki yetu, mpendwa wetu na Mtanzania mwenzetu. kwa pamoja tunaweza. Kama upo New Jersey, New York na majimbo ya jirani.
msiba upo
374 Hawthone Terrace,
Mount Vernon, NY 10552

Unaweza kutuma mchango wako kupitia BANK OF AMERICA # 483033242384 Route # 02100032 jina la a/c Peter Luangisa 

Kwa Mawasiliano na maelekezo piga simu 
Meshack Balira at rome1794@AOL.com  763-464-3940.
Rahma Adam (617) 818-7657.
Peter Luangisa (917) 681-6971 
Rashidi Kamugisha (973) 703-4596 
Bernard Kivugo (973)580-7166 
William Vedasto (973)551-2916

UKIPATA UJUMBE TAFADHALI MTAARIFU NA MWENZIO

1 comment:

Anonymous said...

Jamanii poleni kama hana ndugu bongo mnampeleka kwa nani