Mtu mmoja amefariki dunia na wengine wawili wamebanwa na lori lililosheheni viazi.
Mtu mmoja amefariki dunia na wengine wawili wamebanwa na lori la mizigo kwa zaidi ya masaa nane baada ya lori lililosheheni viazi likitokea Iringa kuelekea jijini Dar es Salaam kugonga lori lililoharibika na kuegeshwa barabarani katika eneo la Maseyu barabara ya Morogoro Chalinze mkoani Morogoro.
2 comments:
Anonymous
said...
Naona kuna umuhimu wa waandishi wa habari kupewa mafunzo ya muda mfupi kuhusu FIRST AID, kufikiri kwa haraka ,kutumia busara ktk kuhoji majeruhi, na kutowachosha kwa maswali Mengi ambayo hayasaidii ktk muda huo.
2 comments:
Naona kuna umuhimu wa waandishi wa
habari kupewa mafunzo ya muda mfupi kuhusu FIRST AID, kufikiri kwa haraka ,kutumia busara ktk kuhoji majeruhi, na kutowachosha kwa maswali Mengi ambayo hayasaidii ktk muda huo.
Sad wamefariki hapo baada ya kutosaidiwa kwa masaa 16.
Mungu awalaze pema peponi.
Post a Comment