ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, April 30, 2013

UK TOUR : DIAMOND AFANYIWA INTERVIEW NA SPORAH

Msanii Diamond Platnumz ambae bado yupo kwenye ziara yake ya muziki nchini Uingereza, hivi karibuni alipata nafasi ya kufanya mahojiano ndani ya kipindi chaSporah Show, kikiwa na mtangazaji wake mwanadada Sporah ...
Baadhi ya picha zinazomuonesha Diamond akiwa katika mahojiano kwenye kipindi hicho, pia akiwa na dancers wake kutoka WASAFI ...


5 comments:

Anonymous said...

ukitaka kumjua mwanamme kicheche mcheki domo lake nakuambiyeni kweli kumefanyiwa research hapa hapa marekani

Anonymous said...

ovyooo! kama huna la kusema bora nyamaza!!. kama unaishi marekani si unamjua Leonardo De Caprio, ameilamba Holywood na wanawake wengine kadha wa kadhaa wenye fedha, hadhi na career. Haka ka jamaa kana cheza cheza tu na kutumia umaarufu wa talent yake, hebu mwache,leave him alone and stay away from him na choyo chako hicho. huna mpya.It is his time nawe suburi wakati wako utafika.

Anonymous said...

lakini sio jambo zuri kwa mtu mwenye busara kumsifia mtu mwingine kwa mambo ya kipuu kama vile anayoyafanya huyu bwana mdogo diamond,ni vizuri kumkanya kwani sio taratibu zetu waafrika kuwa na sifa ya kutaka kuwamaliza wanawake wa aina flani. hivyo wewe anonymous wa may 1,2013. saa 3:11 am. kama unaona anayoyafanya diamond ni ya kawaida eti kwa kuwa Leonardo De Caprio alimalima wanawake wa holywood na unataka diamond naye aendelee hivyo HUJATUMIA BUSARA katika kufukiria kwako.

Anonymous said...

tatizo la wabongo hawapendi kukoselewa wanajiona wako juu,eti choyo changu wee nimuone choyo jama huuyu weee waulize watu mimi nani huku marekani weeee unacheze nini sisi siyo wa majisifu bwana mdogo kama wewe unavyomsifia na kumfagilia diamond leornardo de caprio kwanza nimesema tu as a comment na siyo kumkasifu wala nini sasa unanijia juu njoo baba marekani uje kunijua mimi nani okay

Anonymous said...

kwa kawaida sina tabia wala si mpenzi wa malumbano yasiyo na tija. kwanza wewe hukumkosoa huyo diamond ulichosema mwanamume kicheche mcheki domo lake. kupenda wanawake ni tabia na sio maumbile, ndio nikakupa mfano wa Leonardo je anafanana kimaumbile na diamond? na huo utafiti wako feki, nikalinganisha tabia zinafanana. mimi sikusema kama mambo anayoyafanya diamond ni mazuri au mabaya, nilichosema muache!! na nasema tena leave him alone!! hayo ni maisha yake na wewe una maisha yako. pengine hayo yako yanakushinda kuyaendesha unakurupukia ya wengine. na unapocoment tafadhali usitishie watu kwamba upo marekani kama wewe ni wa kuja hapa marekani mimi wa kuzaliwa. it doesn't matter who you are, what matters is what you say and what you do, we are all human beings.