Monday, May 27, 2013

ABDALLAH KITWARA ALONGA NA VIJIMAMBO SEHEMU YA PILI


Rais wa Vizion One, Inc, Bwn. Abdallah Kitwara alonga na Vijimambo sehemu ya pili aelezea  kampuni zake Tanzania na nini ushauri wake wa Watanzania na Vijana wanaotaka kutuata nyayo zake. MSIKILIZE.

5 comments:

Baraka Daudi said...

Safi sana,mahojiano mazuri. Abdalah ametoa changamoto nzuri sana. Hongera Brother and BIG UP. Dj Luke kazi nzuri sana kwa kutuletea mahojiano ya namna hii.

Anonymous said...

Much respect vijimambo and that man

Anonymous said...

kaka kitwara ni mfano wa kuigwa ,nipo houston umenipa hope kubwa sana, mungu akubariki.

Anonymous said...

Ni vizuri kuona kijana mwenzetu wa KiTanzania anahamasisha kuwa unaweza kupata maendeleo bila kukata corner au kuishi kwa ubabaifu,Abdallah kama kioo katika jamii ametuonyesha kuwa inawezekana kutimiza ndoto zako kama utaweza kuweka mawazo yako katika maendeleo na kufanya kazi kwa bidii,huu ni mfano mzuri wa kuigwa katika jamii haswa kwa wapenda maendeleo,Kamwano.

Anonymous said...

Very nice interview, am so proud of mr abdallah, huu ni mfano mzuri sana wa kuigwa,