Advertisements

Wednesday, May 22, 2013

AZAM KULETA BOTI MPYA YA KISASA

Kampuni ya Azam Marine inatarajia kuleta boti mpya ya kisasa itakayoitwa Kilimanjaro 4,nchini, kuanzia ikiwa na uwezo wa kubeba abiria 700 na kutumia muda wa dakika 70 kwa safari moja ya kati ya Zanzibar na Dar es Salaam. boti hii itakidhi mahitaji ya wasafiri wa eneo hili kwa kuwa inabeba sifa zote, ambazo ni Usalama, Kasi zaidi na Unadhifu. Kilimanjaro 4 itaingia mwishoni mwa mwezi huu wa 5

No comments: