Thursday, May 23, 2013

Bunge limeshindwa kuendelea na utaratibu wake wa kawaida kwa siku ya pili mfululizo

Bunge limeshindwa kuendelea na utaratibu wake wa kawaida kwa siku ya pili mfululizo na kuahirishwa kwa shughuli zote za bunge hilo ili kutoa fursa kwa kamati ya uongozi ya bunge kukutana tena kwa ajili ya kutoa maamuzi juu ya vurugu zilizotokea mkoani Mtwara kupinga usafirishaji wa gesi kutoka Mtwara kwenda Dar es salaam.

1 comment:

Anonymous said...

Wabunge wanailaumu serikali wakati wao pia ni sehemu ya serikali.